Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi.
Leo tumekuletea habari njema ni kuwa tayari App mpya ipo playstore na unaweza kuidownload hapa chini ili kuendelea kupata habari zetu.
BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP YETU MPYA UKISHA BOFYA BONYEZA NENO OPEN IN PLAYSTORE KISHA INSTALL APP YETU MPYA!! NI RAHISI TU

Akizungumza leo Oktoba 2, 2019 na EATV&EA Radio Digital ,Steve Nyelele amedai kuwa hofu na presha ndio sababu ya yeye kutoendelea na safari hiyo ya kuzikamilisha Mita 5,895 za mlima Kilimanjaro.
''Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kupanda mlima Kilimanjaro ambao kiuhalisia sio Mlimani City ni mlima wa kweli kabisa na mimi ni mtanzania mzalendo hivyo nilitaka nijionee mwenyewe, kiukweli kuna changamoto inabidi mtu ujiandae na nilijitahidi kwa kweli nimeishia Km 11,kuna wakati nilisikia presha, ulimi kutaka kutoka, unasikia pua zinatanuka yaani ni noma'' amesema Steve Nyerere.
Kwa mujibu wa Steve Nyerere, safari ya twenzetu kileleni katika Mlima Kilimanjaro, ilidhamiriwa kukamilishwa na wasanii 25, lakini hadi leo Oktoba 2, 2019 ni wasanii sita pekee waliofanikiwa kukifikia kilele cha mlima huo, akiwemo Ebitoke, Dude na Single Mtambalike.










Katika ukursa wake huo Zari aliandika, “Asanteni kwa wote ambao mmeniletea zawadi kuelekea “Birthday” yangu, nimejizawadia mwenyewe nyumba mpya, nashukuru kwa baraka za kuona naongeza mwaka mwingine, sina cha kukulipa Mungu. Asante kwa neema zako”.









