We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 24, 2019

Zari ajizawadia nyumba ya kifahari katika siku yake ya kuzaliwa (Picha)

Mrembo na mfanyabiashara kutokea nchini Uganda, Zari ‘The Boss Lady’, amejinunulia zawadi ya nyumba nchini Afrika Kusini anakoendesha maisha yake kwa sasa katika kumbukizi ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zari ambaye ni mama wa watoto watano, wawili akiwa amezaa na mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz ameandika maneno ya kumshukuru Mungu kwa kuongeza miaka.
Ujumbe huo umepokelewa kwa maoni tofauti katika mitandao ya kijamii, huku wengi wakimpongeza mwanamke huyo na kumtakia maisha marefu na yenye furaha.
Katika ukursa wake huo Zari aliandika, “Asanteni kwa wote ambao mmeniletea zawadi kuelekea “Birthday” yangu, nimejizawadia mwenyewe nyumba mpya, nashukuru kwa baraka za kuona naongeza mwaka mwingine, sina cha kukulipa Mungu. Asante kwa neema zako”.
Miaka 39 iliyopita, tarehe kama ya leo Septemba 23, ndiyo siku mwanamama huyo Zarina Hassan mwenye asili nchini Uganda alizaliwa na jana Septemba 22 aliwaalika ndugu, jamaa na marafiki katika sherehe za awali kwa ajili ya kupata chakula na vinywaji nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list