We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, August 18, 2019

Samatta anaendeleza alipoishia Genk , Apiga hat trick

Club ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, baada ya kuanza na msimu mbaya katika Ligi Kuu ya nchini humo.kwa kupoteza michezo miwili jana imeanza kwa kishindo.
Genk iliyokuwa imepoteza michezo yake miwili kati ya minne niliyocheza, jana imeibuka na ushindi.mnono dhidi ya Waasaland Beveren kwa ushindi wa magoli 4-0.
Ushindi huo wa Genk ulichagizwa na hat trick ya Mbwana Samatta aliyefunga magoli matatu dakika ya 53, 66 na 86, hiyo baada ya Paintsil kufunga goli la Kwanza dakika ya 21, Samatta pia ametangazwa mchezaji bora wa mechi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list