We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 27, 2019

Rosa Ree Awafuata Ghetto Kids Uganda..Awashirikisha Kwenye Ngoma Yake

Mwanamuziki Rapper wa Kike Kutoka Tanzania amefunguka na kusema kuwa yupo Uganda Kupanua Mziki wake Katika nchi hiyo kwa kuwashirikisha Wanamuziki wakubwa huko wakiwemo Watoto maarufu wacheza Dance wanaitwa Getto Kids..

Ghetto Kids kutoka Uganda wamepata umaarufu Dunia nzima baada ya kushirikishwa na Wanamuziki French Montana na Chriss Brown Katika ngoma zao wakionyesha uwezo mkubwa wa Kucheza ..

Rosa Ree amesema anampango wa kutoa ngoma ya kucheza ambayo ndani yake atacheza yeye pamoja na hao watoto wa Ghetto Kids,.

 Amesema kwa sasa wako katika mazoezi ya wimbo huo kwa ajili ya kushoot Video

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list