We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 11, 2019

Kifo cha mrembo mchekeshaji kilichoshutua mastaa mtandaoni

Kifo cha mrembo Martha aliyekuwa akijishughulisha na shuguli za Uchekeshaji, MCna hata kuigiza kimeshutua baadhi ya watu wakiwemo mastaa mtandaoni waliokuwa wakimfahamu kutokana na kuwa kifo chake kuwa cha gafla baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Inaelezwa Martha alikuwa akiugua uti wa mgongo uliopelekea kupata ugonjwa wa maleria kali na awali alilazwa katika hospitali iliyopo Sinza Palestina na kisha kuhamishwa kupelekwa katika hospital nyingine ambapo ndipo umauti ukamkuta.
Enzi za uhai wa Martha alishawahi kufanya kazi nyingi ikiwemo kuwa moja ya wachekeshaji waliokuwa wakifanya Standup comedy ya ‘Cheka tu’ inayofanyikaga kila ijumaa ya mwisho wa mwezi, pia alishawahi kushiriki kwenye baadhi ya kazi za wasanii wa bongofleva kama kwenye video ya Whozu ya ‘Roboti’
Baadhi ya watu maarufu wameonesha kuguswa na kifo hicho na kupost haya kupitia kurasa zao za Instagram..

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list