We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, October 2, 2019

''Mlima Kilimanjaro sio Mlimani City' - Steve

Msanii wa Filamu nchini Steven Mengele, maarufu kama Steve Nyerere amesema kuwa kazi ya kupanda mlima Kilimanjaro si kazi rahisi kwakuwa inamtaka mtu kujipanga na kuwa na afya iliyoimara hii ni baada ya yeye kushindwa kufikia kilele cha mlima huo, kupitia kampeni ya Waziri wa Maliasili na

Akizungumza leo Oktoba 2, 2019 na EATV&EA Radio Digital ,Steve Nyelele amedai kuwa hofu na presha ndio sababu ya yeye kutoendelea na safari hiyo ya kuzikamilisha Mita 5,895 za mlima Kilimanjaro.
''Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kupanda mlima Kilimanjaro ambao kiuhalisia sio Mlimani City ni mlima wa kweli kabisa na mimi ni mtanzania mzalendo hivyo nilitaka nijionee mwenyewe, kiukweli kuna changamoto inabidi mtu ujiandae na nilijitahidi kwa kweli nimeishia Km 11,kuna wakati nilisikia presha, ulimi kutaka kutoka, unasikia pua zinatanuka yaani ni noma'' amesema Steve Nyerere.
Kwa mujibu wa Steve Nyerere, safari ya twenzetu kileleni katika Mlima Kilimanjaro, ilidhamiriwa kukamilishwa na wasanii 25, lakini hadi leo Oktoba 2, 2019 ni wasanii sita pekee waliofanikiwa kukifikia kilele cha mlima huo, akiwemo Ebitoke, Dude na Single Mtambalike.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list