We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, September 30, 2019

Duma amjibu Nay wa Mitego kuhusu Mabaunsa

Siku moja baada ya msanii Nay wa Mitego ku-post video Instagram akiwaponda wasanii kuwa na mabaunsa wa kuwalinda, msanii wa filamu Duma amepingana na kauli ya Nay wa Mitego baada ya yeye kuonekana na mabaunsa watatu usiku wa uzinduzi wa filamu yake.


Akiieleza EATV & EA Radio Digital,sababu ya kutembea na mabaunsa hao, Duma amesema,
"Mabaunsa hawa wananilinda kwa ajili ya tukio hili kubwa na la kihistoria, nikaona sio mbaya nikaingia na watu wakani 'support' kwa namna moja au nyingine ni kitu kizuri lakini huwezi kujua watu wanaweza wakakuvamia kwa sababu hapa watu ni wengi na wengine wanaweza wasiwe wazuri kwa upande wangu".
Kupitia ukurasa wake wa instagram Nay wa Mitego aliandika, ''sasa hivi kutembea na mabaunsa imekuwa 'fashion' sio kama usalama wa mtu, maana naona hata 'video queen', wadangaji, DJ's na wao wana mabaunsa, pia wasanii wengine hawana sababu ya kutembea na baunsa kwanza hawana hela".
Baada ya kipande hicho cha video kukiachia, kilionekana kupendwa na watu wengi na ndani ya muda mfupi kilikuwa na watazamaji 124,426 , kilipendwa (likes) 36,293, pamoja na maoni ya watu 2,235.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list