We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, January 31, 2019

DUDE ILIKUJA BAHATI MBAYA/ LAZIMA UGEUKE/ NAIBA KIMATAIFA

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

NINI: NAY WA MITEGO/ FANYA MAPENZI/ NILIAMUA KUVUNJA MAHUSIANO

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

Hatukupaswa kufika kwenye matuta - Zahera


Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kama wachezaji wake wangekuwa makini, mchezo wa leo dhidi ya Biashara United usingefika kwenye changamoto ya mikwaju ya penati


Aidha Zahera amemshukia mshambuliaji wa tmu hiyo Mcongomani Heritier Makambo kuwa kiwango chake kimeshuka sana
Katika michezo ya hivi karibuni Makambo amekuwa akikosa nafasi nyingi za kupachika mabao

Zahera amesema Makambo tangu arudi kutoka mapumziko kwao Congo, kiwango chake kiko chini

"Huyu sio Makambo ninayemfahamu mimi, kiwango chake kimeshuka sana" amesema Zahera

"Kwani kama angekuwa kwenye ubora wake, naamini mchezo wa leo usingefika hatua ya penati"

Yanga ililazimika kupata ushindi kupitia mikwaju ya penati baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Biashara United

VIDEO: YANGA SC 2-2 BIASHARA UNITED: MAGOLI NA MIKWAJU YOTE YA PENALTI

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 31.01.2019

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

Kisa Lissu, Ndugai 'ashambuliwa'

Baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kueleza kwamba Bunge limeshamlipa Tundu Lissu Sh250m, kati ya hizo Sh207.8m ni stahiki zake na Sh43m ni mchango wa matibabu ya mbunge huyo, wabunge na viongozi wa CHADEMA wamecharuka na kueleza kwamba pesa hizo ni mishahara yake na siyo hisani.


Mapema leo Ndugai alisema kwamba kuanzia sasa ataanza kumjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kwa kuwa ana amini amepona na kwamba tayari ameshalipwa Sh250milioni kutoka bungeni.

Kauli ambayo ilizua utata ilimfanya Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kuhoji ni, "mbunge  gani ambae hakupewa mshahara na jimbo 'allowance' wakati akitibiwa ajitokeze.  Kwanini Lissu asimangwe"?.

Selasini ameongeza kwamba, "msimamo wa Serikali na Bunge ni kutolipa matibabu ya Lissu hoja ikiwa hakupata rufaa ya Muhimbili. Msimamo huo upo kwa barua za bunge kwa familia na chama. Fedha anazosema Spika ni mishahara posho ya jimbo. Wabunge wote hata Spika akiugua mishahara na posho haisitishwi".

Lema ameongeza kwamba "mshahara wa Mbunge sio hisani ya Spika".

Spika Ndugai katika kipindi cha maswali na Majibu alisema kwamba sasa yupo tayari kumjibu Lissu kwa kuwa alikuwa amelala kitandani, na kwamba sasa hivi  anaamini kwamba amepona ndiyo maana anafanya ziara.

“Siku za mwanzo sikutaka kujibu maana niliamini kumjibu mtu aliyelala kitandani siyo vizuri kwani kuna vitu huenda vingekuwa vimempita, lakini sasa naamini ni mzima hadi anafanya ziara nje. Nalisema hili akijibu nakuja na mkeka hapa,” amesema Ndugai.

Aidha Ndugai ameeleza kwamba Lissu amekuwa akilalamika kila wakati kuwa Bunge halimjali kitu ambacho hakina ukweli ndani yake na hakuna madai kama hayo.

RASMI: KICHUYA AIKACHA SIMBA NA KUTIMKIA HUKU

Winga mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea club ya Simba SC Shiza Ramadhan Kichuya tayari amekamilisha usajili wa kujiunga na club ya Pharco inayoshiriki Ligi daraja la pili Misri.
Kichuya amejinga na Pharco ya Misri lakini baada ya kukamilisha usajili huo ametolewa kwa mkopo katika club ya Enppi inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri, uhamisho wa Shiza Kichuya umekamilishwa wakati huu mchezaji huyo akiwa kaenda Alexandria Misri kucheza mchezo wake wa CAF Champions League.
Kwa maana hiyo sasa baada ya Shiza Kichuya kukamilisha usajili huo na ITC yake kutarajiwa kutumwa, hatutomuona katika kikosi cha Simba SC kitakachocheza mchezo wa tatu wa hatua ya Makundi dhidi Al Ahly CAF Champions League.
Kichuya sasa atapata fursa na kuungana na watanzania wenzake katika Ligi Kuu Misri ambao ni Himid Mao anayecheza Petrojet aliyojiunga nayo akitokea Azam FC na Yahya Zayd aliyejiunga na Ismaily akitokea Azam FC pia, timu ya Kichuya ENNPI kwa sasa ipo nafasi ya 14 ikiwa na point 21.

Lissu amjibu Ndugai gharama za matibabu yake


Tundu Lissu amesema Bunge la Tanzania halijawahi kutoa hata senti moja kugharamia matibabu yake.

Lissu  ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 31, 2019 saa chache tangu Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kusema Desemba 2018, Lissu alikuwa amelipwa Sh207.8 milioni zikiwa stahiki zake na Sh43 milioni zilizotolewa kama mchango wa matibabu kwake.

Lissu amekiri kulipwa Sh43 milioni zilizotolewa na wabunge wenzake kama mchango wao na kwamba kiasi kingine alicholipwa kinachofanya jumla ya fedha hizo kufikia Sh250 ni mishahara na stahiki zake, lakini siyo gharama za matibabu.

Ametoa sababu tatu ambazo Spika Ndugai alizitoa Aprili mwaka jana, kwamba Bunge haliwezi kulipia gharama za matibabu yake.

Lissu amezitaja sababu hizo kuwa hawajapata barua ya kibali ya madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili; hawajapata barua ya kibali cha Katibu Mkuu Wizara ya Afya; na tatu hawajapata barua ya kibali cha Rais (John) Magufuli kuidhinisha malipo hayo.

“Sasa anaposema wamenilipa pesa hizo anapaswa kuulizwa, je, ni lini walipata barua hizo tatu za vibali?” amehoji Lissu na kuongeza:

“Ukweli pekee uliopo ni kwamba Bunge halijawahi kunilipa hata senti moja ya gharama za matibabu yangu. Hata senti moja!”

Amesema pesa pekee aliyolipwa ni mshahara na posho zake za kila mwezi kama mbunge tu ambazo wanalipwa wabunge wote, waliopo bungeni au hospitalini.

“Hata Spika Ndugai mwenyewe alipougua na kulazwa India kwa zaidi ya miezi sita mwaka 2016, alilipwa mshahara na posho zake za kila mwezi. Hiyo siyo pesa ya gharama za matibabu,” amesema Lissu aliyeko Ubelgiji kwa matibabu.

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Rais Magufuli Katika Mazishi Ya Mke Wa Mufti Wa Tanzania

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Aboubakary Bin Zubeir yaliyofanyika Kwamndolwa, Korogwe mkoani Tanga.

Akitoa salam kwa niaba yake amesema “Rais Dkt. Magufuli aliweka nia ya dhati kushiriki mazishi haya ila kwa bahati mbaya leo ana mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Arusha ambapo yeye ni Mwenyekiti.”

“Mheshimiwa Rais amenituma nije nikupe pole wewe, watoto, familia na wote walioguswa na msiba huu. Mheshimiwa Rais anawaombea kwa Mungu ili mpate utulivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na nguzo katika familia. Haya yote ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu.”

Waziri Mkuu ameshiriki mazishi hayo ya mke wa Mufti, Bibi Hidaya Omar leo (Alhamisi, Januari 31, 2019).

Kadhalika, Waziri Mkuu amewasihi wafiwa na waombolezaji wote waendelee kuwa watulivu na kumuombea marehemu kila mmoja kwa imani yake ili Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.

Kwa upande wake, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza kwa niaba ya familia amemshukuru Rais Dkt. Magufuli kwa kumtuma Waziri Mkuu amuwakilishe katika mazishi hayo. Pia amewashukuru watu wote waliojitokeza kwa ajili ya kuifariji familia kutokana na msiba walioupata.

Viongozi wengine waliohudhuria mazishi hayo niWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo, Mhe. Salma Kikwete, Mhe. Hawa Ghasia, Mhe. Mary Chatanda ,Mhe. Mkuu wa Mkoa wa TangaMartine Shigelana Masheikh wa Mikoa.

Spika Wa Bunge Akimuaga Mhe. Kitwanga Uwanja Wa Ndege Jijini Dodoma Wakati Akipelekwa Jijini Dar Es Salaam Kwa Matibabu Zaidi

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
PICHA NA BUNGE

HAYA HAPA MATOKEO YA YANGA VS BIASHARA UNITED LEO


Yanga imetinga raundi ya tano ya michuano ya kombe la FA (ASFC) baada ya kuifunga Biashara United kwa mikwaju ya penati 5-4 kufuatia matokeo ya sare ya mabao 2-2
Mchezo huo ulianza kwa kasi ambapo makosa ya beki Andrew Vicent Chikupe aliyemfanyia madhambi mshambuliaji wa Biashara United ndani ya eneo la hatari, yaliizawadia timu hiyo mkwaju wa penati uliowekwa kambani mapema tu na Waziri Junior

Yanga ilirejea mchezoni kwenye dakika ya tisa ikipata mkwaju wa penati baada ya Ajib kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari
Mkongwe Amissi Tambwe akautumbukiza mpira kimiani

Kwa mara nyingine tena Biashara United wakafunga bao la pili kwenye dakika ya 40 kupitia kwa Innocent Edwin aliyewaramba chenga walinzi wa Yanga kabla ya kuutumbukiza mpira kimiani

Yanga ilirejea ikiwa imara kwenye kipindi cha pili ikisaka bao la kusawazisha.
Baada ya kosakosa nyingi, Makambo aliisawazishia Yanga bao la pili kwenye dakika ya 74 akimalizia mpira uliotemwa na mlinda lango wa Biashara United, Barola
Baada ya dakika 90 kukamilika huku timu hizo zikitoka sare ya mabao 2-2, mshindi wa mchezo huo ikabidi aamuliwe kwa changamoto ya mikwaju ya penati

Yanga ilifanikiwa kufunga penati zake zote tano wakati Tarik Mussa alikosa mkwaju mmoja wa Biashara United.

Yanga sasa itachuana na Namungo Fc kwenye mchezo wa raundi ya tano

Video : jinsi ya kutomb* kwa kichwa cha mb** peke yake mpaka akojoe


Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.
Video : jinsi ya kutomb* kwa kichwa cha mb** peke yake mpaka akojoe

VIDEO: JINSI YA KUMTIA MWANAMKE MIMBA, STAILI ZINAZOTUMIKA

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

VIDEO: USIMLAUMU MUMEO KUWA HUJAFIKA KILELENI FANYA HAYA KATIKA TENDO LA NDOA

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

VIDEO: JE DEMU WAKO AU MKE WAKO UKE WAKE UMELEGEA?? TAZAMA HAPA JINSI YA KUUBANA

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

Zifahamu dalili 10 za mwanamke aliyetoka kufanya mapenzi kama ni mkeo



HAPA PINDI ANAPORUDI NYUMBANI:
1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.
2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake. Siku zote huvulia chumbani na asubuhi huzipeleka kwenye kapu.
3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.
4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe mumewe kama kawaida yenu.
5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu. Anaweza pia kukusumbua kwa kutaka uende kumnunulia dawa..
HAPA PINDI UNAPOKUWA NAYE KITANDANI:
1. Kama ametoka kuliwa kavu kavu lazima utakuta papuchi yake imelowa.
2. Kutanuka kwa papuchi ikiwa atakuwa amechepuka na mwanaume mwenye mtalimbo mkubwa lazima utakuta papuchi yake imepanuka. Hili utaligundua pindi unamuingiza itaingia moja kwa moja bila mkwamo wowote kwa kuwa k imekuwa pana.
3. Mwanamke aliyetoka kudinywa utamjua tu unapokuwa naye kwa bed kwanza hisia zake zitakuwa tofauti na ambavyo hajaliwa hakawii kukuuliza: “bado hujamaliza?”. Ukiona hivyo ujue umeishaibiwa. kwanza hata ushirikiano wake kitandani hupungua sana na unapomuomba “cha pili” husingizia ama kiuno kinauma au kisingizio chochote. Ukiona hivi ujue ushagongewa ndugu yangu.
4. Kukataa kuliwa bila sababu za msingi: hapa ujue atakuwa tayari ameishachoshwa na mchepuko.
5. Jaribu kuchunguza tofati ya papuchi unapoenda cha kwanza na cha tatu. Iliyotumika inakuwa kama unavyoenda cha tatu. Ule ugumu wa kuingia wakati unataka kupiga cha kwanza huwa haupo tena.
6. Unaweza kutress harufu kwani harufu au jasho la mtu mwingine unaweza kuligundua kama mkeo katoka nje muda si mrefu. Jasho la mtu mwingine kwenye mwili huwa ni laana hivyo utambaini, au harufu ya pafyume itabaki tu mwilini hata awe ametoka kuoga

MWISHO; UKIMWI UNAUA TUWE MAKINI KWENYE MAPENZI

HII NDIYO SABABU YA WANAUME KUSINZIA BAADA YA KUFANYA MAPENZI

Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa na usingizi punde tu baada ya kumaliza tendo la kujamiiana.

Lakini utafiti uliofanywa hivi na wanasayansi unawapa wanaume ahuweni katika kuepuka lawama hizo, kwamba, kumbe siyo hiyari yao, bali ni maumbile.
Wanasayansi hao wamebaini kwamba, kwa sababu za kimaumbile ubongo wa wanaume unawalazimisha kulala muda mfupi baada ya kushiriki tendo la kujamiiana. Katika utafiti wao wanasayansi hao walibaini kwamba, kwa jinsi ubongo wa mwanaume ulivyotengenezwa, pale wanapomaliza tendo la kujamiiana na kufika kileleni kuna eneo  na kuwafanya kupata usingizi.

Wakati hilo likitokea kwa wanawake hali ni tofauti, kwani wao hubaki wakikodolea macho dari wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali lukuki, wakijihisi kutowaridhisha wapenzi wao.

Utafiti huo ulifanyika kwa kuhusisha kipimo cha kumulika, maarufu kama scan, ambapo kilitumika kuwamulika wanaume katika ubongo wao pale wanapofanya tendo la kujamiiana na baada ya kumaliza kujamiiana na kufika kileleni na kubaini kwamba, eneo linalojulikana kama cerebral cortex, eneo linalohusika na ‘fikra’ huzimika baada ya mwanaume kufika kileleni.

“Utafiti huu unatupa matokeo ya kile kinachotokea ndani ya ubongo pale mwanaume anapofika kileleni.” Gazeti la Mirror lilimnukuu mwanasayansi mmoja wa serikali ya Ufaransa aitwae Serge Stoleru.
“Lakini kwa wanawake inaonekana ni tofauti kabisa……” Aliongeza kusema mwanasayansi huyo.

Mwanasayansi huyo aliendelea kusema kwamba, wanawake hushangazwa sana na jambo hilo na ndio sababu hubaki wakiwashangaa wapenzi wao wanapolala baada ya kumaliza tendo il hali wao wakitaka zaidi….

Kwa hiyo hakuna sababu ya wanawake kuwalaumu tena wanaume baada ya kumaliza tendo na kulala kwa sababu hivi sasa wameshajua sababu, watuwache tupumuwe……

JE UNA UUME MDOGO ( KIBAMIA) JIFUNZE HAPA JINSI YA KUUTUMIA KUMKUNA DEMU WAKO MPAKA APAGAWE

Je, ni urefu au unene?
Je, urefu wa u-ume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi?Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi.

Huko ni kupoteza muda na pesa.
Ingawa urefu wa u-ume hauna umuhimu kama imani potofu inavyodai bado suala la msingi ni uimara wa misuli ya u-ume; kwani misuli ya u-ume ikiwa imara basi mwanaume huwa na uwezo (strength/flexibility) ambayo itaweza kumpa sifa mume kwa mke wake.
Hii ina maana bila kujali una urefu kiasi gani au ufupi kiasi gani, kama una misuli imara hilo ndilo jambo la msingi kwa mwanaume.

Tuweke suala la hiyo imani potofu pembeni hivi ni kitu gani mwanamke huhitaji physically ili afurahie tendo la ndoa?, Suala la muhimu ni kuwa na ufahamu wa anatomy kuhusu mwanamke (u-ke); ukweli ni kwamba nervesnyingi zipo inchi mbili kutoka mlango wa u-ke  na asilimia kubwa ya nerves zipo katika mzunguko wa mlango wa u-ke.

Hii ina maana mwanaume yeyote mwenye u-ume wa inches mbili kama anajua namna ya kumfikisha mke kuridhika au kufika kileleni kupitia u-ke basi ataweza kumfikisha mke wake kileleni.

Je, ni unene wa u-ume huweza kumridhisha mwanamke kimapenzi? Ni kweli unene unaweza kuwa ni sababu hasa kutokana na uwezo wa mwanamke alionao kukaza misuli ya u-ke.
Je mwanamke ana umri gani, amekuwa na partners kiasi gani na amezaa watoto wangapi na zaidi amefanya kitu gani kuhakikisha misuli yake (u-ke) inakuwa imara.

Mfano:Ingawa suala la thickness si tatizo kwa wanawake wa nchi za Asia kama Japan, Singapore au Philippines kwa kuwa suala la kukaza misuli kwa wanawake ni moja ya sanaa.

Wanawake wa huko hucheza michezo ya kuingiza ping pong-ball (mipira mfano wa tennis) sita kwenye u-ke na kuzirusha futi 15 ili kuingia kwenye ndoo huku kila kimpira kinapotoka kinaendana na popping sound bila kukosa hata kimoja.

Pia huweza kuingia ndizi iliyomenywa kwenye u-ke huanza kuzikata ndizo (slice) vipande vipande huku vikidondoka.
Fikiria sasa likija suala la mapenzi hii inaonesha kwamba hao wanawake wanajua jinsi ya kuridhishana na kwao size does not matter.

Bahati mbaya ni kwamba tamaduni nyingi za Africa, ulaya na Amerika hazina mazoea ya kuwa na mazoezi ya kukaza misuli ya u-ke au u-ume.

Hivyo thickness ni muhimu kwa mwanamke ambaye u-ke wake ni loose na weak pia kama misuli yake hoi.

NB:
Hapa sina maana mwanamke ajihusishe na mchezo huu, it is illegal; najaribu kuelezea uwezo wa misuli ya u-ke ukifanyiwa mazoezi vitu inaweza kufanya.

Je, inakuwaje kama mwanaume ana u-ume mkubwa (unene na urefu) zaidi ya wastani ambao wanaume wengi huwa?Tafiti nyingi zinaonesha wanawake wengi hulalamika pale mwanaume anapokuwa na u-ume mkubwa zaidi ya kawaida na hasa kama hajui namna ya kuutumia.

Wanawake wengi huona ni huge barrier kwa ajili ya ku-enjoy s-ex kama mke na mume na wakati mwingine mwanamke hujisikia uncomfortable na huishia kukwepa.

FAIDA YA VAZI LA KANGA MKIWA CHUMBANI

Katika kuifanya ndoa iwe imara, niliwahi kuzungumzia mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. Lakini pia nikasema kwamba, kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa anavyotaka.

Pia nikasema kuwa, hakuna kitu kibaya kama mke wa mtu kuvaa nguo zisizo za heshima kwenye nyumba ya kupanga kiasi cha kuwatega wapangaji wa kiume.
Nilisema hayo baada ya kubaini kuwa, wapo wanawake ambao wameolewa lakini hawaoni hatari kuvaa kimitego bila kujali kuwa, kufanya hivyo ni kuiweka rehani ndoa.

Kuna hili vazi la kanga moja ambalo baadhi ya wanawake wamekuwa wakipenda kulivaa hasa maeneo ya mjini, bila kujali ni mchana au usiku, kwenye nyumba ya kupanga au binafsi.
Hapo ndipo penye shida na leo nimeona nilizungumzie ili wale wenye tabia hiyo waache mara moja kama wanazitaka ndoa zao.

Niseme tu kwamba, ukiwa na mumeo chumbani wala sioni tatizo kumvalia kanga moja, wakubwa wanajua faida ya vazi hili katika kuidumisha ndoa.

Pia ikiwa mnaishi peke yenu, siyo hatari hata kidogo kuvaa kanga moja, akazurura nayo sebuleni, jikoni na sehemu nyingine za nyumba yenu. Nasema hivyo kwa sababu, kuvaa minguo kibao mbele ya mumeo naweza kusema ni ushamba, labda kama kuna baridi sana, unaumwa au hauko vizuri na mwenza wako. Kinyume chake unaweza kuvaa vazi hilo na ikawa ni chachu ya mambo yetu yalee.

Shida inakuja pale utakapovaa vazi hilo kisha kutoka na kwenda bafuni kuoga, mbaya zaidi uwe umejaaliwa umbile tata kisha kwenye nyumba unayoishi kuna wanaume kibao. Unadhani katika mazingira hayo ndoa yako itakuwa salama kweli?

Unadhani wapangaji wenzako watakuheshimu? Sidhani kama itakuwa hivyo. Kwa kuvaa kanga moja ni wazi utapata usumbufu mkubwa kutoka kwa wanaume wakware na wengi watakuona unatangaza biashara. Mumeo naye hawezi kufurahia hilo, labda awe ni miongoni mwa wale malimbukeni.

Unachotakiwa kujua ni kwamba, kuvaa kanga moja hasa kwa mke wa mtu na kukatiza mbele za wanaume bila aibu ni kujichoresha. Utadharaulika na hata mumeo hawezi kupata heshima inayostahili kwani ataonekana kaoa mke mcharuko.

Labda niseme tu kwamba, unatakiwa kuwa makini sana na mavazi yako. Tambua uvaeje ukiwa na mumeo tu chumbani, uvaeje ukitoka kwenye geti la nyumba yenu na uvaeje ukiwa ndani ya nyumba huku ukiwa na familia.

Wapo wanaokosea, unakuta mke wa mtu ana watoto tena wakubwa tu lakini akiwa ndani kwake anaona sawa kuvaa kanga moja na akawa anazunguka huku na kule. Hii siyo sawa! Ni kweli wanao hawawezi kukutamani lakini unawafundisha nini kwa kuvaa hivyo?

Naomba nihitimishe kwa kusema kwamba, unapoingia kwenye ndoa unatakiwa kujitofautisha kabisa na wale ambao wako ‘singo’. Kanga moja ni vazi la kumvalia mumeo tena hasa chumbani.

Usijidhalilishe kuvaa nguo ambayo itakufanya utafsirike tofauti, udharaulike na kuonekana unatangaza biashara wakati una mume.

HII NDIO STAILI KONKI INAYO KOJOLESHA MAELFU YA WANAWAKE


Jinsi Ya Kujipanga Mwanamke alale chali(uso,matiti na kila kitu viangalie juu),kisha Mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume,unaweza kuweka mto(pillow) chini ya makalio ya mwanamke awe more comfortable and relaxed.

Faida za Hii Style
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa kupeana Raha na Utamu,kuna faida mbili mtaenjoy,ya Kwanza, mashine ya mwanamme na uke wa mwanamke zote zinakuwa katika level sawa,hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri G-spot,na Pili Uke wa mwanamke unajibana kidogo, ikijibana inaongezeka kuwa tight,na kufanya starehe ya tendo kuzidi.

Maujanja Zaidi
Mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke, akipump kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri G-spot sehemu yenye utamu usiokifani.

LIVE; TAZAMA TAARIFA YA HABARI ITV LEO ALHAMISI

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila wakati kusoma habari zote mpya.

Ndugai aitetea kauli yake kuhusu malipo ya Lissu "Nimenukuliwa Vibaya"

Spika wa Bunge, Job Ndugai amedai kuwa alinukuliwa vibaya kuhusu malipo ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu.


Leo mapema, Spika Ndugai alinukuliwa akisema kwamba, Bunge limeshamlipa Tundu Lissu Sh250m, na kwamba hana madai yoyote anayoyadai Bunge kama jinsi anavyoeleza na kwamba kama akibisha atauleta mkeka.

Hata hivyo Spika amefafanua kwamba, "nimenukuliwa vibaya, sijamaanisha bunge limetoa fedha kugharamia matibabu ya Lissu. Nilichosema ni kwamba kati ya Milioni 250 alizolipwa Lissu, milioni 207 ni stahiki zake (ikiwemo mshahara), na milioni 43 ni michango binafsi ya wabunge kwa Lissu", amesema.

Ameongeza kuwa, "na sio kwamba bunge limechangia matibabu ya Lissu kama ilivyoripotiwa  "Hata hivyo baad ya kauli hiyo, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amefafanua kwamba "Kwa utaratibu wa bunge, Mbunge anapokuwa anaumwa mshahara wake na posho zinalipwa kwake kama kawaida, Lissu sio mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo ndio utaratibu hata wa kazi zingine.Mzee Mkono mbunge msm vijijini ambae nae anaumwa mda mrefu analipwa mshahara so Lissu hapewi favor".

Upinzani waibuka tena na sakata la korosho “Serikali imeshindwa” (+video)

January 31, 2019 Kambi rasmi ya upinzania Bungeni ikiongozwa na Waziri Kivuli katika Wizara ya Kilimo Pascal Haonga wamezungumza na Waandishi wa habari Dodoma na kuelezea kuhusu kauli ya Serikali kudai kwamba imeshindwa kubangua korosho zote za wakulima kutokana na uhaba wa viwanda ikiwa mwanzo iliahidi kufanikisha zoezi hilo.

“Tutapata matatizo makubwa huko mbele”-Zitto Kabwe (+video)

January 31, 2019 Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo yake katika miswada miwili iliyowasilishwa Bungeni ambayo ni Muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali (No.4) wa mwaka 2018 pamoja na Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira.

Msanii Harmonize Matatani...RC Makonda Aagiza Achungwe Kama Anavuta Bangi

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza vyombo vya usalama kumchunguza msanii  Harmonize kama anatumia bangi au lahh! ili achukuliwe hatua za za kisheria.

Makonda ameyasema hayo leo Alhamisi Januari 31,2019  wakati akizungumza na wasanii katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

Amesema katika mtandao wa Instagram ameona picha ikimuonyesha Harmonize anayetamba na wimbo Paranawe akivuta kitu hicho hivyo ameomba ichunguzwe kama ni bangi au lah.

“Nimemuagiza Gavana wa huko  achunguze ile ni bangi au nini na ikigundulika ni bangi atakapotua tu hapa ni pingu na kupelekwa lock up, Vizuri namlea mwenyewe na mtoto anapokosea lazima umshikishe adabu bila kujali unampendaje,” amesema Makonda.

Wabunge Walalamika Adhabu Kubwa kwa kosa la matumizi ya mabaya ya maji

Wabunge wameitaka Serikali kuangalia upya adhabu zilizowekwa katika Muswada wa Sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira, ikiwemo mtu atakayepatikana kwa kosa la matumizi ya mabaya ya maji kutozwa faini ya kati ya Sh5milioni hadi Sh10 milioni.

Akiwasilisha maoni ya kambi ya upinzani bungeni leo Januari 31 mwaka 2019, msemaji wa kambi hiyo, Hamidu Bobali amesema faini zilizowekwa katika makosa hayo ni kubwa  ukilinganisha na uzito wa kosa ambalo lingehitaji tu kuelimishwa.

“Katika makosa yaliyotajwa pamoja na kosa la kutumia maji vibaya chini kifungu cha 63. Kifungu hiki hakijaeleza maana ya matumizi mabaya ya maji. Kifungu hiki kinaweza kuwaweka wananchi wengi matatani pale kitakapotumika vibaya,” amesema.

Amesema kifungu cha 65 cha muswada huo kinaozungumzia makosa ya kutumia maji kinyume na matumizi yaliyoainishwa ambapo adhabu imeainishwa kuwa faini ya kiasi cha Sh5milioni au kifungo kisichopungua miezi sita.

Pia amesema kifungu cha 66 cha muswada huo kimebainisha kuwa adhabu kwa makosa kama ya kuosha au kufua na kuoga na kusababisha au kuruhusu kitu kuingia kwenye miundombinu ya maji ni faini ya Sh 50,000 au isiyozidi Sh 1milioni au kifungo cha mwezi mmoja.

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi kutoka nchi 3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 31 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi kutoka nchi 3 ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Balozi wa kwanza kukutana na Makamu wa Rais, alikuwa Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa Balozi mpya wa Misri hapa nchini ambaye alifika kwa lengo la kujitambulisha na pia kuzungumzia mambo mbali mbali ya kuimarisha uhusiano baina ya nchini  mbili ambao ulianzishwa na waliokuwa marais wa nchi hizi, Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Rais Gamal Abdel Nasser Hussein wa Misri.

“Misri itaendelea kutoa ushirikiano katika masuala ya Elimu, Afya na masuala ya teknolojia ya ujenzi wa miundombinu yenye tija kwa mataifa haya mawili” alisema Balozi huyo.

Mwisho Balozi huyo mpya wa Misri aliahidi kusimamia miradi yote ambayo ipo kwenye makubaliano baina ya Serikali hizi.

Kwa upande wake Makamu wa Rais alimpongeza na kumkaribisha Tanzania pamoja na kumhakikishia ushirikiano mzuri katika kazi zake akiwa hapa nchini na kumueleza kuwa kwa miaka mingi uhusiano kati ya Misri na Tanzania umezidi kuimarika.

Balozi wa Pili kukutana na kuzungumza na Makamu wa Rais alikuwa Mhe. Francisca Pedros, Balozi mpya wa Spain hapa nchini ambaye Makamu wa Rais alimpongeza kwa kuwa Balozi wa kwanza mwanamke kuteuliwa kuja kuitumikia nchi yake hapa nchini.

Balozi wa Tatu kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Makamu wa Rais ni Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe ambaye alimueleza Makamu wa Rais furaha yake ya kuwa hapa na kuona namna mahusiano ya nchi hizi mbili yameboreka ambapo alisema kuwa

“Nafarijika kuona namna ambavyo wanawake wanapewa nafasi za juu katika uongozi katika nchi hizi mbili”

Makamu wa Rais pamoja na mambo mengine alimpongeza Balozi huyo wa Ethiopia kwa kuwa Balozi wa kwanza mwenye makazi yake hapa Tanzania.

Wakala wa Majengo ya Serikali (TBA) Watakiwa kukamilisha miradi ya ujenzi wanayo pewa ndani ya muda

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (rtd) Nicodemus Elias Mwangela amewataka Wakala wa Majengo ya Serikali (TBA) kukamilisha miradi ya ujenzi wanayo pewa ndani ya muda wa makubaliano ya mikataba.

Brig. Jen. (rtd) Mwangela ameyasema hayo jana wakati akishuhudia utiaji saini wa mikataba miwili ya ujenzi wa Nyumba ya Mkuu wa Mkoa na ya Katibu ya Katibu Tawala Mkoa kati ya TBA na Katibu Tawala Mkoa wa Songwe.

“TBA mna sifa nzuri ya kujenga majengo ya serikali kwa kuzingatia ubora unaotakiwa na kwa gharama nafuu lakini kuna wakati kunakuwa na kusita katika kuwapa kazi kutokana na historia yenu ya kuchelewesha kukamilisha miradi mnayopewa ya ujenzi”, ameeleza Brig. Jen. (rtd) Mwangela.

Ameongeza kuwa TBA wamechelewesha ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na ujenzi wa Hospitali ya Mji wa Tunduma hivyo ucheleweshaji huo usirudie katika mikataba hiyo miwili waliyopewa kwani hatasita kuvunja mikataba hiyo endapo wataonyesha ucheleweshaji.

Naye Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Z. Kafulila ameishukuru serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuupatia Mkoa wa Songwe kiasi cha shilingi bilioni 26.8 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali mkoani hapa.

Kafulila amesema serikali imekuwa ikitoa fedha za miradi mbalimbali lakini kasi ya utoaji wa fedha na matumizi ya fedha hizo kwenye miradi husika imekuwa haiendani na hivyo kusababisha kuchelewa kukamilika kwa miradi hiyo.

Kwa upande wake Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Songwe Mhandisi Fidelis Cosmas ameishukuru serikali kwa kuendelea kuwa amini na kuwapa miradi hiyo miwili yenye thamani ya shilingi bilioni moja na kuahidi kuikamilisha kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa.

Mhandisi Cosmas amesema hapo awali walikuwa na changamoto kama vile ukosefu wa maji, umeme na baadhi ya vifaa lakini wamesha zifanyia kazi changamoto hizo hivyo watamaliza miradi hiyo Juni 30, 2019 kama walivyokubaliana katika Mikataba.

Serikali Haidaiwi Na Wafanyakazi Wa Kiwanda Cha Kilitex-Arusha

Na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Serikali iliwalipa stahili zote Watumishi wa Kiwanda cha nguo cha KILITEX kilichopo mkoani Arusha baada ya kufungwa kutokana na tatizo la ukosefu wa mtaji na malimbikizo ya madeni.

Hayo yamebainishwa Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, alipokua akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalaum Mhe. Catherine Magige, aliyeuliza ni lini Serikali itawalipa wafanyakazi 545 wa KILITEX ambao bado wanadai pensheni baada ya kiwanda hicho kufungwa ilihali mwajiri wao hakuwasilisha michango yao kwenye Mfuko wa Kijamii wa PPF.

Dkt. Kijaji alisema kuwa, kwa mujibu wa kumbukumbu na nyaraka za ufilisi, taratibu za ufilisi zilikamilika na wafanyakazi hao walilipwa stahiki zao kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni  namba 46 ya mwaka 1931.

“Baadhi ya wafanyakazi walilipwa mafao ya kiinua mgongo kwa mkupuo na wengine walirejeshewa michango yao kwa kadiri walivyochangia baada ya Mfilisi kushindwa kulipa riba, adhabu na malimbikizo ya michango kwenye mfuko wa Pensheni wa PPF”, alisema Dkt. Kijaji.

Alisema Kiwanda hicho kilisimamisha shughuli za uzalishaji mwaka 1994 na kuwekwa chini ya ufilisi na PSRC mwaka 1995.

Aidha akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mlimba, Mhe. Suzan Kiwanga, alietaka kufahamu ni lini wafanyakazi 11075 wa Shirila la Reli la Tanzania na Zambia- TAZARA waliostaafishwa kwa lazima miaka 55 mwaka 2005, watalipwa mafao yao.

Alisema Serikali imefuatilia madai hayo na takwimu sahihi ni wastaafu 271 walistaafishwa na madai yao yanashughulikiwa ili waweze kulipwa mafao yao.

Mwisho.

Hamissa Mobetto Aamua Kuvunja Ukimya Atupa Jiwe Gizani

Akisema swala hilo bila kulenga mhuiska, Hamisa alifanya hivyo katika snapchat yake huku akisema kuwa “upendo mwingi huja watu wakiona kuwa umekufa, watakuoa maua wakati wanajua kuwa huweiz kuyanusa’
Mwanadada Hamisa Mobeto amefunguka na kusema kuwa watu wamekuwa na tabaia ya kuonyesha kuwa wanawapenda pindi tu wanapokufa kwa kuwalilia na kuwawekea mashada ya maua wakati walitakiwa kuonyesha huo upendo wakiwa hai.

hamisa analaani kitendo icho na kuona ni kama unafki na kwamba hakuna rafiki wa kweli uniani kwa sababu kila mmoja anakupenda pale unapokua.
Akisema swala hilo bila kulenga mhuiska, Hamisa alifanya hivyo katika snapchat yake huku akisema kuwa “upendo mwingi huja watu wakiona kuwa umekufa, watakuoa maua wakati wanajua kuwa huweiz kuyanusa’

Serikali Yatoa Salamu za POLE Kufuatia Kifo cha Mwamuzi Nguli wa Ngumi za Kulipwa Nchini




Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list