January 31, 2019 Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo yake katika miswada miwili iliyowasilishwa Bungeni ambayo ni Muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali (No.4) wa mwaka 2018 pamoja na Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment