We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, January 31, 2019

Upinzani waibuka tena na sakata la korosho “Serikali imeshindwa” (+video)

January 31, 2019 Kambi rasmi ya upinzania Bungeni ikiongozwa na Waziri Kivuli katika Wizara ya Kilimo Pascal Haonga wamezungumza na Waandishi wa habari Dodoma na kuelezea kuhusu kauli ya Serikali kudai kwamba imeshindwa kubangua korosho zote za wakulima kutokana na uhaba wa viwanda ikiwa mwanzo iliahidi kufanikisha zoezi hilo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list