We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, January 31, 2019

Ndugai aitetea kauli yake kuhusu malipo ya Lissu "Nimenukuliwa Vibaya"

Spika wa Bunge, Job Ndugai amedai kuwa alinukuliwa vibaya kuhusu malipo ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu.


Leo mapema, Spika Ndugai alinukuliwa akisema kwamba, Bunge limeshamlipa Tundu Lissu Sh250m, na kwamba hana madai yoyote anayoyadai Bunge kama jinsi anavyoeleza na kwamba kama akibisha atauleta mkeka.

Hata hivyo Spika amefafanua kwamba, "nimenukuliwa vibaya, sijamaanisha bunge limetoa fedha kugharamia matibabu ya Lissu. Nilichosema ni kwamba kati ya Milioni 250 alizolipwa Lissu, milioni 207 ni stahiki zake (ikiwemo mshahara), na milioni 43 ni michango binafsi ya wabunge kwa Lissu", amesema.

Ameongeza kuwa, "na sio kwamba bunge limechangia matibabu ya Lissu kama ilivyoripotiwa  "Hata hivyo baad ya kauli hiyo, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amefafanua kwamba "Kwa utaratibu wa bunge, Mbunge anapokuwa anaumwa mshahara wake na posho zinalipwa kwake kama kawaida, Lissu sio mbunge wa kwanza kufanyiwa hivyo ndio utaratibu hata wa kazi zingine.Mzee Mkono mbunge msm vijijini ambae nae anaumwa mda mrefu analipwa mshahara so Lissu hapewi favor".

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list