Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
PICHA NA BUNGEWe are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment