Je, ni urefu au unene?
Je, urefu wa u-ume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi?Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi.

Huko ni kupoteza muda na pesa.
Ingawa urefu wa u-ume hauna umuhimu kama imani potofu inavyodai bado suala la msingi ni uimara wa misuli ya u-ume; kwani misuli ya u-ume ikiwa imara basi mwanaume huwa na uwezo (strength/flexibility) ambayo itaweza kumpa sifa mume kwa mke wake.

Hii ina maana bila kujali una urefu kiasi gani au ufupi kiasi gani, kama una misuli imara hilo ndilo jambo la msingi kwa mwanaume.
Tuweke suala la hiyo imani potofu pembeni hivi ni kitu gani mwanamke huhitaji physically ili afurahie tendo la ndoa?, Suala la muhimu ni kuwa na ufahamu wa anatomy kuhusu mwanamke (u-ke); ukweli ni kwamba nervesnyingi zipo inchi mbili kutoka mlango wa u-ke na asilimia kubwa ya nerves zipo katika mzunguko wa mlango wa u-ke.
Hii ina maana mwanaume yeyote mwenye u-ume wa inches mbili kama anajua namna ya kumfikisha mke kuridhika au kufika kileleni kupitia u-ke basi ataweza kumfikisha mke wake kileleni.
Je, ni unene wa u-ume huweza kumridhisha mwanamke kimapenzi? Ni kweli unene unaweza kuwa ni sababu hasa kutokana na uwezo wa mwanamke alionao kukaza misuli ya u-ke.
Je mwanamke ana umri gani, amekuwa na partners kiasi gani na amezaa watoto wangapi na zaidi amefanya kitu gani kuhakikisha misuli yake (u-ke) inakuwa imara.
Mfano:Ingawa suala la thickness si tatizo kwa wanawake wa nchi za Asia kama Japan, Singapore au Philippines kwa kuwa suala la kukaza misuli kwa wanawake ni moja ya sanaa.
Wanawake wa huko hucheza michezo ya kuingiza ping pong-ball (mipira mfano wa tennis) sita kwenye u-ke na kuzirusha futi 15 ili kuingia kwenye ndoo huku kila kimpira kinapotoka kinaendana na popping sound bila kukosa hata kimoja.
Pia huweza kuingia ndizi iliyomenywa kwenye u-ke huanza kuzikata ndizo (slice) vipande vipande huku vikidondoka.
Fikiria sasa likija suala la mapenzi hii inaonesha kwamba hao wanawake wanajua jinsi ya kuridhishana na kwao size does not matter.
Bahati mbaya ni kwamba tamaduni nyingi za Africa, ulaya na Amerika hazina mazoea ya kuwa na mazoezi ya kukaza misuli ya u-ke au u-ume.
Hivyo thickness ni muhimu kwa mwanamke ambaye u-ke wake ni loose na weak pia kama misuli yake hoi.
NB:
Hapa sina maana mwanamke ajihusishe na mchezo huu, it is illegal; najaribu kuelezea uwezo wa misuli ya u-ke ukifanyiwa mazoezi vitu inaweza kufanya.
Hapa sina maana mwanamke ajihusishe na mchezo huu, it is illegal; najaribu kuelezea uwezo wa misuli ya u-ke ukifanyiwa mazoezi vitu inaweza kufanya.
Je, inakuwaje kama mwanaume ana u-ume mkubwa (unene na urefu) zaidi ya wastani ambao wanaume wengi huwa?Tafiti nyingi zinaonesha wanawake wengi hulalamika pale mwanaume anapokuwa na u-ume mkubwa zaidi ya kawaida na hasa kama hajui namna ya kuutumia.
Wanawake wengi huona ni huge barrier kwa ajili ya ku-enjoy s-ex kama mke na mume na wakati mwingine mwanamke hujisikia uncomfortable na huishia kukwepa.
No comments:
Post a Comment