We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, July 13, 2019

Patrick Aussems atoa neno program ya Simba

Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa yupo njiani kuripoti kazini kwaajili ya kuanza kambi rasmi ya maandalizi ya msimu ujao.


Aussems ambaye aliipa Simba ubingwa wa ligi kuu na kuifikisha robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika, amesema yupo tayari kwa msimu ujao na anafika muda wowote.
'Ni muda wa kurejea kwenye nchi nzuri ya Tanzania, nipo tayari kwa msimu mpya ambao utakuwa mzuri sana'' ameandika Aussems kwenye ukurasa wake wa Instagram''
Simba imetangaza ratiba yake ambayo inaanza leo kwa wachezaji na benchi la ufundi kufika kwenye hoteli ya Sea Scape ambapo wachezaji na benchi watapewa vifaa.
Julai 14, 2019 wachezaji watapewa semina juu ya mambo mbalimbali ya klabu hiyo kisha Julai 15, timu itaondoka kwenda Afrika Kusini kwaajili ya kambi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list