Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa aliyewahi kuwa kocha wa Azam Fc na Simba Mcameroon Joseph Omog ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'
Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, Omog hajaomba kazi hiyo

No comments:
Post a Comment