Msemaji wa klabu ya soka ya Simba Haji Manara amemwambia Rais Magufuli kuwa ipo siku ataikaribisha Klabu ya Simba Ikulu kama ikitokea ikachukua Ubingwa wa Afrika japo amekiri kuwa sio kazi rahisi kwao kushinda ila wana mikakati.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment