We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, July 13, 2019

Chris Brown aanza kumfuatilia Vanessa Mdee

Baada ya mwimbaji wa miondoko ya RnB Chris Brown kutangza kolabo yake na mkali wa Nigeria Davido Ijumaa ya July 12,2019 sasa huenda kukawa kuna nyingine kutokea hapa nyumbani hii ni baada ya CB kuonekana kum-follow Vanessa Mdee kwenye instagram yake.
Vanessa Mdee amekuwa miongoni mwa wafuasi zaidi ya Elf 3 ambao Chris Brownanawa-follow kupitia ukurasa wake wa instagram, mashabiki wengi wameibuka na kudai kuwa huenda CB amevutiwa na uwezo wa Vee kwenye masuala ya muziki.
Inawezekana kuwa Vanessa Mdee ndio msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kuwa miongoni mwa wafuasi wa CB, kupitia Insta story Vanessa hakutaka kuificha good news hii alipost na kuandika ‘Nina uhakika kuwa wote mnafahamu kuwa nampenda huyu kijana, Chris Brown anani-follow”

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list