We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, July 13, 2019

Al-Shabab wavamia hotel, waua watu 12

Takriban watu 12 wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa baada ya shambulio la kigaidi lililotekelezwa na kundi la wapinganaji la Al-Shabab katika Hoteli ya Asasey iliyoko pembezoni mwa bandari ya Kismayo nchini Somalia.
Maafisa na wale walionusurika wanasema kuwa mlipuaji wa kujitolea muhanga aliligongesha gari lililojaa vilipuzi katika hoteli hiyo kabla ya washambuliaji hao kuvamia jengo hilo.
Kundi la wapinganaji la Al-Shabab limekiri kutekeleza shambulio hilo.
Walioshuhudia wanasema kuwa walisikia milio ya risasi baada ya bomu lililokuwa ndani ya gari hilo kulipuka.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list