We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 26, 2019

Waziri Mpina apigiwa simu mbele ya umati kujibu kero “wanapata tabu” (+video)

Kupitia mkutano wa uzinduzi wa Bukoba Vijijini ya kijani Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vijana Mkoa wa Kagera Halima Bulembo amelazimika kupiga simu live kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ili ajibu kero inayowakabili wavuvi wa maeneo hayo juu ya tozo ya samaki na Waziri amelazimika kujibu hapohapo wananchi wakimsikia.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list