We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 27, 2019

Waziri Kabudi kazungumza akiwa nchini Marekani (+video)

Katika kufikia azma ya kuwa na uchumi jumuishi Tanzania iko katika utekelezaji wa mkakati mpya wa matumizi ya fedha kwa mfumo usio wa kibenki ambao umewalenga wakulima wadogo na wakati hususani wanawake ili kuleta usawa wa kijinsia Nchini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akizungumza kwenye mkutano wa viongozi wa juu kuhusu masuala ya uchumi jumuishi kwa maendeleo uliondaliwa kwa pamoja na Tazania na Uholanzi.
Akizungumza katika Mkutano huo, kando ya mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa unaoendelea New York Marekani Prof. Kabudi ameelezea mafanikio ambayo Tanzania imefikia katika mpango wake wa kwanza kuongeza watu katika mfumo wa fedha usio wa kibenki na sasa iko katika mpango wa pili ambapo watumiaji wa mfumo wa fedha usio wa kibenki wameongezeka maradufu.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list