Kocha Mwinyi Zahera ana wiki mbili za kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United
Mchezo huo utapigwa Jumamosi ya Septemba 28 Ndola nchini Zambia
Uongozi wa Yanga umewahakikishia wapenzi, wanachama na mashabiki wake kuwa wamedhamiria kupata matokeo nchini Zambia hivyo watafanya maandalizi kabambe
Katika mchezo huo Yanga itahitaji matokeo ya ushindi au sare ya kuanzia mabao 2-2 ili iweze kutinga makundi

No comments:
Post a Comment