Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriamemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA Wilaya ya Igunga kwa kutowajibika katika nafasi yake huku akuagiza kupewa barua za onyo Meneja wa Wakala hiyo Wilaya ya Nzega kwa kutokuwa na nyaraka sahihi za miradi.
Akizungumza baada ya ukaguzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa mita 800 iliyojengwa chini ya Mamlaka ya Wilaya ya Igunga amesema “Kuna mijitu inatembea na miwani ya zamani, tupa huko la sivyo nitawavua mi mwenyewe na kuwashusha kwenye mtaro”.
No comments:
Post a Comment