We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, August 30, 2019

RC Gambo aagiza kukamatwa kwa ‘waliopiga’ Tsh 500M za chama cha ushirika

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameagiza kukamatwa kwa viongozi na wanachama wote wa waliofilisi chama cha ushirika wa kuweka na kukopa cha Ayalabe SACCOs cha Mjini Karatu kutokana na viongozi hao kudaiwa kufanya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 500.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list