We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, August 30, 2019

Yanga yajichimbia Mwanza kuiwinda Zesco; Golikipa Farouk Shikhalo mambo safi

Timu ya Wananchi Yanga SC imepanga kupiga kambi jijini Mwanza itapocheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Mbao FC na Pamba SC kujiandaa na mchezo wa CAF CL dhidi ya Zesco ya Zambia. Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Dismas Ten ndiye aliyetoa taarifa hiyo na amesema watamtumia golikipa wao, Farouk Shikhalo, kwenye mechi hiyo kwani tayari ameshapata leseni ya CAF.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list