Mkoa wa Kigoma umefugua rasmi msimu wa mauzo ya zao la Pamba kwa mwaka 2018/19 ambapo RC Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Mganga amewahakikishia soko la uhakika wakulima wa zao hilo huku akiwataka kuepuka kutumia madalali katika uuzaji.
Ufunguzi wa mauzo hayo umefanyika katka Kijiji cha Tandala Kata ya Uvinza Wilayani Uvinza.
No comments:
Post a Comment