We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 29, 2019

Mbunge Professor Jay na Producer Majani, wawashana mitandaoni

Msanii wa muziki wa hip hop, Professor Jay ambaye ni mbunge wa Mikumi, amefunguka akiwalalamikia COSOTA kwa kudai kuongea uongo kuhusu kusema kuwa COSOTA ilimsaidia Professor Jay kulipwa fedha kutoka Uganda na hapo Professor Jay aliandika ujumbe huu:-
“COSOTA Mmekuja kwenye kikao cha kamati ya Bunge na kusema uwongo kwamba mmenisimamia mimi PROFESSOR JAY nikalipwa sh.Milioni 100 kutoka UGANDA ukweli ni kwamba sijalipwa hata cent TANO na PESA Zote amelipwa PFUNK MAJANI chini ya usimamizi wenu Wekeni vizuri hiyo kumbukumbu yenuπŸ™πŸ»”
COSOTA Mmekuja kwenye kikao cha kamati ya Bunge na kusema uwongo kwamba mmenisimamia mimi PROFESSOR JAY nikalipwa sh.Milioni 100 kutoka UGANDA ukweli ni kwamba sijalipwa hata cent TANO na PESA Zote amelipwa PFUNK MAJANI chini ya usimamizi wenu Wekeni vizuri hiyo kumbukumbu yenuπŸ™πŸ»

190 people are talking about this
Na baada ya kauli hiyo ya Mheshimiwa Mbunge wa Mikumi imemfanya Producer mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva Majani kukasirishwa na kauli hiyo ya mheshimiwa na kuandika ujumbe huu.

Unatoa maoni gani kuhusu hiki kinachoendelea.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list