We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 12, 2019

Yanga kukipiga na As vita siku ya Wiki ya Mwananchi

Klabu ya AS Vita ya DR Congo imealikwa kucheza na Yanga siku ya utambulisho wa kikosi cha timu hiyo ambayo ni siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema mchezo huo utapigwa August 04 katika uwanja wa Taifa

Awali Yanga ilipanga kufanya tukio hilo Julai 27, hata hivyo kutokana na muingiliano wa ratiba na timu ya Taifa, sasa litafanyika August 04

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list