We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 12, 2019

Kabudi “Nimehuzunishwa sijathibitisha Azory Gwanda amefariki” (+video)

Leo July 12, 2019 Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi amekanusha kuthibitisha kuwa Mwandishi Azory Gwanda aliyetoweka tangu 2017 amefariki.

Prof. Kabudi amesema amenukuliwa vibaya na kuwa alichosema ni kwamba wapo watanzania waliopotea na waliofariki huku akisisitiza uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list