We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, July 13, 2019

VITUKO VYA MBUNGE MWIJAGE MBELE YA UMATI "NITAJIFUNZA ROHO MBAYA"

Mbunge wa Viti Maalum kwa upande wa Vijana Mkoa wa Kagera Halima Bulembo leo amefika Jimbo la Muleba Kaskazini kwa Charles Mwijage kwa ajili ya kutoa misaada ya kusaidia wagonjwa na Mama wajawazito.
Baada ya kukabidhi vifaa hivo, Mbunge Mwijage ametumia nafasi hiyo kuongea na wananchi huku akitoa mifano ya mambo mbalimbali ikiwa ni sambamba na kusema kuwa “sasa anaenda kujifunza roho mbaya”.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list