We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, July 13, 2019

KAULI YA SERIKALI KUHUSU MATUMIZI YA MITANDAO YANAVYOWEZA KUHATARISHA USALAMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Maria Sasaboamesema  kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya mitandao nchini zimetokea changamoto mbalimbali za viashiria vya matishio ya kuhatarisha usalama na  usiri wa taarifa. Dkt Sasabo ameeleza hayo leo July 12, 2019 wakati akifungua mafunzo   ya  usalama  mtandao yaliyoshirikisha taasisi mbalimbali za kiserikali nchini.
‘’Kwa kuwa utandawazi haujali mipaka ya nchi inabidi tuwe makini na tujipange kukabiria na viashiria au matukio hatarishi endapo yatatokea kwa haraka, nimeambiwa kuwa hili ndio lengo kuu la mafunzo ambayo yatatolewa kwa kipindi cha wiki nzima”-Dkt. Sasabo

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list