We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 12, 2019

Simba kusaka mbadala wa Zana

Licha ya kuwasilisha majina ya wachezaji 25 kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, uongozi wa Simba umesema bado haujakamilisha usajili wa mchezaji mmoja
Dirisha la usajili wa CAF bila ya faini lilifungwa jana, hivyo Simba italazimika kulipa faini ili kuandikisha mchezaji mwingine
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mulamu N'gambi amesema wameamua wasifanye pupa katika usajili wa nafasi hiyo ili kuhakikisha wanapata mchezaji sahihi
N'gambi amesema Simba italipa faini kulingana na utaratibu uliowekwa na CAF lakini muhimu ni kupata mchezaji sahihi ambaye pia ataitumikia timu hiyo kwenye ligi
Baada ya kuachana na Zana Coulibaly, inaelezwa Simba inasaka beki mahiri wa kulia ambaye atasaidiana na Shomari Kapombe

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list