Uongozi wa Yanga umetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya usambazaji wa vifaa vya timu ya Yanga ikiwemo usambazaji wa jezi
Mwezi uliopita Yanga ilitangaza tenda ya kusaka Mawakala wa kusimamia uuzaji wa jezi pamoja na vifaa mbalimbali
Ushirikiano ya GSM na Yanga utaendelea kuimarika baada ya kushinda zabuni hiyo
GSM iliichangia Yanga Tsh Milioni 300 kwenye Harambee ya Kubwa Kuliko iliyofanyika mwezi uliopita jijini Dar es salaam

No comments:
Post a Comment