We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 12, 2019

Shilole azua jipya, awataja Uwoya na Wema

Msanii wa muziki, muigizaji na mjariamali Shilole, amesema anatamani kuwaona mastaa kama Irine Uwoya na Wema Sepetu wakiingia kwenye ndoa. 


Shishi ambaye yupo katika ndoa kwa mwaka wa pili sasa na mumewe Uchebe, amewataja mastaa hao kupitia mahojiano ya EATV & EA Radio Digital.
"Ndoa mtu hashauriwi anaamua mwenyewe, kama ulivyotafuta mpenzi wa kike na mpenzi wa kiume na ndivyo utakavyoamua kuolewa'', amesema.
Mkali huyo wa Hit kama Nakomaa na Jiji, ameongeza, ''Mimi napenda wasanii wote waingie kwenye ndoa, na natamani Irine Uwoya aingie kwenye ndoa na ataingia tu mimi najua, Wema naye natamani aolewe kwanza wote wanapendeza kwenye ndoa".  
Siku ya jumapili July 7 zilisambaa video mitandaoni zikiwaonyesha Shishi na mumewe Uchebe, wakiwa katika hali ya vurugu  na imeonekana mumewe kumpiga kichwa mlinzi katika moja ya shughuli zilizofanyika hapa jijini Dar es salaam.  

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list