We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 12, 2019

Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) mbioni kutangazwa


Baada ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuchezwa bila mdhamini hali ambayo ilipelekea vilabu kupitia changamoto ya ukata, hatimaye Bodi ya Ligi imesema wapo mbioni kutangaza mdhamini.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Stephen Mguto amesema TFF na Bodi ya Ligi wapo kwenye mchakato wa mwisho na wadhamini wawili waliojitokeza ambapo mmoja atakuwa mdhamini mkuu na mwingine mdhamini mwenza.
.
"Walioleta ofa wako wawili, mmoja atatambulika kama mdhamini mkuu na mwingine mdhamini mwenza. Watu wanasema baada ya dhidi ni faraja, tutegemee tutakuwa na faraja ligi ya msimu huu," alissema.

Utakumbuka msimu uliomalizika wa 2018/19 wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) Simba SC walifanikiwa kutetea ubingwa wao.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list