We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, July 10, 2019

Rais Magufuli “nitaanzisha zoo ya Wanyama wapole, nisijekuwa kitoweo” (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akizindua Hifadhi ya Burigi -Chato ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuwachukulia hatua watumishi wote wanaozihujumu Maliasili za Taifa.
Rais Magufuli pia amewahamasiha Watanzania kuanzia Hifadhi ndogondogo za kufuga wanyama pori “Na mimi nafikiria hilo nataka nifuge wanyama wale wapole wapole nisije nikajikuta nimekuwa kitoweo” Rais Magufuli

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list