We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 4, 2019

Padri, Sista wafariki kwa ajali Kilimanjaro

Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali wilayani Mwanga,  Mkoani Kilimanjaro mara baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga gari la mizigo lililokuwa limeegesha kando ya barabara.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Julai 4, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah, amesema  ilitokea majira ya jioni katika barabara ya Kichwa Cha Ng’ombe eneo la Mgagao wilayani humo.
Alisema  gari hilo aina ya Toyota Land Crus lenye namba za usajili T 234 AHY likitokea Lushoto likiwa na abiria wawili ilifika katika eneo hilo na kuligonga kwa nyuma gari namba T 647 SMC  na kusababisha vifo vya abiria hao papohapo.
Aidha aliwataja waliofariki katika ajali hiyo ni dereva, Padri Aminiel Chrstopha (47) mkazi wa Wilaya ya Lushoto na mtawa (sista) Oktavian Richard (51) mkazi wa wilaya ya Rombo na kwamba chanzo cha ajaili hiyo ni mwendeokasi alikuwa nao dereva.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list