Winga wa zamani wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Uholanzi Arjen Robben, ametangaza kustaafu kusakata kabumbu.
Robben mwenye miaka 35 ambaye aliwahi kuvichezea vilabu vya Chelsea na Real Madrid kwa nyakati tofauti ameweza kwa ujumla kucheza michezo 606 na kufunga magoli 210 katika kipindi chake cha uchezaji kwa miaka 19 ya soka.

No comments:
Post a Comment