We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 4, 2019

“Afrika hakuna anaetuzidi kwa Maliasili, watalishwa watu Milioni 240” Waziri Kigwangalla (+video)

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla akifungua Mkutano wa mwaka wa TANAPA na Wahariri wa Vyombo vya Habari Mkoani Mwanza amesema Tanzania ina Maliasili ya Maji baridi kuliko nchi yoyote Duniani hivyo amewaomba Wanahabari kuwahamasisha Wananchi kuhifadhi Maliasili hiyo kwa vizazi vijavyo.
“Haya maji baridi tuliyonayo yatakuja kuwa utajiri mkubwa, duru za utawala na diplomasia duniani zinazungumza kama itatokea Vita Kuu ya Tatu ya Dunia haitakuwa kama hizo zilizopita itakuwa ni kwa sababu ya maji baridi na sisi tayari tunayo yakutosha” Waziri Kigwangalla

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list