We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 11, 2019

Mjukuu wa Nyerere Kasema Haoni Sura Ya Babu Yake Kwenye Ile Katuni Iliyokabidhiwa kwa Rais Magufuli

Mjukuu wa Baba wa Taifa, Mwl. JK Nyerere, Sophia Nyerere amesema haoni sura ya Babu yake kwenye sanamu iliyochongwa na kukabidhiwa kwa Rais Magufuli hivi karibuni katika uzinduzi wa Hifadhi mpya ya Burigi, Chato.

Sophia Nyerere mezungumza hayo katika mahojiano na Kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV.

“Kiukweli sioni sura ya Babu yangu kwenye ile sanamu, aliyechora anisamehe sina nia ya kumuharibia biashara, Babu ameshafariki hawezi kujizungumzia ila tuliobaki tunatakiwa tuwazungumzie, nilisema ni mapema sana Watanzania kumsahau Baba wa Taifa.
“Nikiwa mdogo nyumbani walikuja wazungu walimletea zawadi ya sanamu nakumbuka Babu aliikataa, haikuwa moja tu zilikuwa nyingi, kuna siku ililetwa sanamu aliniambia naionaje nikamwambia huyu ni wewe ile sanamu ipo kule nyumbani Butiama”  Amesema Mjukuu wa Nyerere

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list