We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 25, 2019

Mikanda miwili ya video yenye ushahidi yawasilishwa kesi ya vigogo CHADEMA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha Kamera ya kurekodia video na tepu mbili kwa ajili ya kutumika katika ushahidi wa kesi ya uchochezi inayowakabili Viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya kupitia hoja za pande zote mbili.
Hakimu Simba amesema kuwa Kifungu cha 18 cha sheria ya ushahidi wa kieletroniki kimeweka vigezo vya upokeaji wa vielelezo vya eletroniki ambavyo shahidi namba sita Koplo Charles alikidhi.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 26, 2019 kwa ajili ya kuendelea na ushahidi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list