Mfanyabiashara Azim Dewji na waandishi 3 wa ITV, Chanel Ten na Azam TV wamepata ajali leo Julai 27, asubuhi baada ya gari lao kuacha njia Kijiji cha Nyaminywili, Rufiji. Walikuwa wakitoka katika uzinduzi wa mradi wa umeme mto Rufiji na hali zao zinaendelea vizuri.


No comments:
Post a Comment