Simba itaanza kampeni ya kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo itakapoumana na JKT Tanzania, August 23 kwenye uwanja wa Uhuru
Lakini kabla ya mchezo huo, August 17 Simba itaumana na Azam Fc katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambayo utapigwa katika uwanja utakaofahamika baadae
Michezo mitatu ya mwanzo kwenye ligi yote itapigwa uwanja wa Uhuru kwani baada ya kucheza na JKT Tanzania, Septemba 17 Simba itacheza na Mtibwa Sugar katika uwanja huo huo kabla ya kuumana na Lipuli Fc Septemba 22 2019

No comments:
Post a Comment