We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, July 10, 2019

Haruna Niyonzima atimkia Rwanda

Kiungo Haruna Niyonzima mwenye uwezo wa kuchezea mpira uwanjani namna anavyotaka inaelezwa kuwa amejiunga na klabu ya AS Kigali ya Rwanda.

Niyonzima amejiunga na AS Kigali ambayo inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf) amemaliza mkataba wake na Simba hivyo anajiunga akiwa mchezaji huru.

AS Kigali ni mabingwa wa FA nchini Rwanda, ataitumikia timu hiyo kwa kandarasi yake ya mwaka mmoja.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list