We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 9, 2019

Kagera Sugar yaweka silaha zake hadharani tayari Ligi Kuu


Kikosi cha Kagera Sugar kimeweka wazi kukamilisha usajili wao kwa asilimia 88 na wamebakisha wachezaji watatu kwa nafasi ya kipa, kiungo na mshambuliaji watatoka Uganda.

Katika asilimia hiyo, Kagera Sugar imewataja sehemu ya wachezaji wanaounda timu hiyo kwa sasa ni kipa Said Kipao, Mwaita Gereza, Ally Shomary, Haroun Kheri na David Luhende.
Wengine ni Juma Shemvuni, Juma Nyosso, Erick Kyaruzi, Hassan Isihaka, Majidi Khamis, Zawadi Mauya, Moussa Hadji Mosi, Ally Ramadhani na Abdallah Seseme.
Wengine ni Peter Mwalyanzi, Japheth Makalayi, Yussuf Muhilu, Geofrey Mwashiuya, Awesu Awesu, Chalamanda, Erick Mwaijage, Frank Ikobela, Everist Mujwahuki na Nassor Kapama.
Mabosi wa Kagera Sugar wameweka wazi kuwa nafasi za wachezaji hao watatu watasajiliwa kutoka sehemu mbalimbali. Kiungo anatarajiwa kutoka Zanzibar na mshambuliaji watamtoa Uganda.
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime hakutaka kumtaja mchezaji na kusisitiza ukifika wakati kila kitu kitakuwa wazi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list