We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 2, 2019

Jux amwonesha mpenzi wake mpya?

Mwimbaji wa Bongofleva Juma Jux, ameonesha kujibu mapigo ya msanii mwenzake Vanessa Mdee, ambaye alikuwa mpenzi wake na hivi karibuni alithibitisha kupitia Insta Story kuwa wameachana.

Jux ambaye jana ameachia video ya ngoma yake mpya aliyomshirikisha Vannesa 'Sumaku', ametupia picha mitandaoni akionekana yupo Vacation kwenye Mbuga ya Serengeti akiwa na mwanadada mwingine.
Jux ameweka picha tofauti tofauti kwenye Instagram, huku zikiambatana na ujumbe kuwa ni 'Vocation' kwa maana ya mapumziko.
Licha ya Vanessa kuthibitisha kuwa wameachana na kilichobaki ni ushkaji tu, lakini bado maswali yalikuwa mengi lakini hili la Jux kuonekana na mwanadada mwenye asili ya kizungu, huenda likatoa majibu kuwa wawili hao wameachana.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list