We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 8, 2019

Brazil yatwaa kombe la Copa America 2019


Brazil yatwaa ubingwa wa kombe la Copa America 2019 ikiwa ni mara ya 9 kuchukua ubingwa huo. Brazil wameichapa Peru goli 3-1 kwenye mchezo wa fainali.

Wakati huo huo Nahodha wa Brazil Dani Alves ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Michuano ya Copa America 2019. Dani Alves amekuwa ni mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kushinda makombe 40.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list