We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 27, 2019

Wabunge wawili Kenya wamuunga mkono Jaguar, Wataka aachiwe huru ‘Alichoongea ndio Wakenya wanataka, Tanzania walichoma vifaranga vyetu hatukuongea’ (+video)

Baada ya Mbunge wa jimbo la Starehe nchini Kenya, Jaguar kukamatwa siku ya jana na jeshi la polisi nchini humo kwa tuhuma za uchochezi. Hatimaye baadhi ya wabunge nchini humo wameunga mkono kauli ya Jaguar huku wakitaka aachiwe huru kwani alichosema ndio mtazamo wa Wakenya waliowengi.

Akichangia maoni bungeni jana Juni 26, 2019, Mbunge wa Garissa mjini, Aden Duale amesema Jaguar alifanya jambo la kizalendo kwani Taifa hilo linahitaji kuwalinda wananchi wao kwenye masuala ya kibiashara.
Mbunge mwingine ni Moses Kuria wa jimbo la Gatundu Kusini, Amesema kuwa kauli ya Jaguar sio ngeni kwani viongozi wengi wa nchi hiyo walishawahi kuongea kuhusu wageni kupora fursa za kibiashara nchini humo.


Teargassed Gatundu South MP Moses Kuria warns of a revolution after arrest of Starehe MP Jaguar.

525 people are talking about this

Jana Mbunge wa jimbo la Starehe, Jaguar alishikwa na maafisa polisi katika viunga vya bunge la nchi hiyo, Na mpaka sasa bado hajaachiwa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list