We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, June 28, 2019

JAGUAR ANYIMWA TENA DHAMAMA, KUSOTA MAHABUSU SIKU 5

MBUNGE wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua (Jaguar),  ataendelea kubaki mahabusu kwa siku tano katika kituo cha polisi cha Kileleshwa wakati uchunguzi kuhusu kesi yake ya uchochezi ikiendelea.

Uamuzi huo unatokana na upande wa mashtaka kutoa siku tatu za kikazi za kufanya uchunguzi huo, bila kuzijumuisha Jumamosi na Jumapili, wiki hii.

Awali, upande wa mashitaka ulitaka Jaguar abaki mahabusu kwa siku 14 katika kituo cha polisi cha Kamukunji ili kukamilisha upelelezi huo.

Jaguar aliyekuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi,  Sinkyani Tobiko, anakabiliwa na  mashtaka ya kutoa kauli ya uchochezi dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni nchini humo jijini Nairobi katika Barabara ya Kirinyaga alipowataka wafanyabiashara hao kuondoka nchini humo la sivyo watashambuliwa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list