Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano na klabu ya Real Madrid juu ya kumchukua jumla mchezaji Mateo Kovacic ambaye alikua akikipiga kwenye klabu hiyo ya Londoni kwa mkopo msimu uliopita.
Ijapokuwa Chelsea wamefungiwa lakini mchezaji huyo anaweza kusajiliwa kwasababu alijumuishwa kwenye klabu hiyo akiwa kwa mkopo msimu uliopita.
Mkopo huo unaisha Juni 30 kwahiyo Chelsea inatakiwa kukamilisha dili hilo kabla ya tarehe hiyo.

No comments:
Post a Comment