We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 27, 2019

Baba mzazi wa Rapper Eminem afariki dunia

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoi kuwa Baba mzazi wa Rapper Eminem, Marshall Bruce Mathers Jr’67 amefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa Marshall alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.
Inaelezwa kuwa Eminem hakuwahi kuwa na ukaribu na baba yake mzazi hii ni baada ya wazazi wake kutengana akiwa bado na umri mdogo ambapo taarifa za awali ziliwahi kusambaa kuwa Marshall alikuwa akimnyanyasa Mke wake (Deborah R. Nelson-Mathers) na kupelekea hadi wawili hao kuachana. Eminem aliwahi kuzungumza na kusema hakuwahi kumuona baba yake zaidi ya kuona picha zake.

Eminem akiwa na mama yake mzazi Deborah
Marshall Bruce Mathers III ambalo ndio jina halisi la Eminem inaripotiwa kuwa aliwahi kumuandikia baba yake barua ili kujenga ukaribu lakini hazikuwahi kujibiwa ambapo baba yake aliibua malalamiko kwa mama mzazi wa Eminem na kusema kuwa yeye ndiye sababu ya kutokuwepo na maelewano baina yake na mwanae Eminem. 

Baba mzazi wa Eminem

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list